victormztz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 1,111
- 614
Tupia kapicha hapa tuoneNahitaji mkopo wa dharula wa sh.250,000/=
dhamana yangu ni laptop ya sony.
Proccesor i5
Hd 300gb
Ram 2gb
Win 8
Kwa mwezi mmoja tu.
Tuwasiliane kwa 0755 360552
Nipo dar.
Kipindi mkiambiwa boom ni pesa ya kula tu si kununulia lap top mnakuwa wabishi haya sasa ulinunua lap top baada ya kulipa ada umeona sasa unavyoteseka
Tupia kapicha hapa tuone
Hongera sana kwa mchango wako mzuri.Duh! Aliyekwambia mm ni mwanafunzi ni nani?kuna assets zimeibiwa kwenye ofisi yangu ndiomana nahitaji mkopo huu wa dharula ili kuzi replace haraka.
Na hata kama ni mwanafunzi kwani ananunua laptop kwa ajili ya kuchezea?
Matatizo huwa hayana hodi kaka,kama independent man nafikili utakuwa umenisoma.
Lkn nashukuru pia kwa mchango wako kwani utawasaidia walengwa.
Mwili wake utamla nyama..Sema papuchi yakeUngekuwa mwanamke ningekushauri namna ya kuupata bila dhamana! mwili wako tu!
Km unayo mpe tu bwana aonekana mstaarabu huoni majibu yakeHongera sana kwa mchango wako mzuri.
Vipi umeshapata hiyo hela?
Ndo mana nimemuuliza kama amepata au lah!Km unayo mpe tu bwana aonekana mstaarabu huoni majibu yake
Lazima utakuwa unaishi DarUngekuwa mwanamke ningekushauri namna ya kuupata bila dhamana! mwili wako tu!
Ubarikiwe mkuu kwa uungwana wako wa namna ya kujibu.Duh! Aliyekwambia mm ni mwanafunzi ni nani?kuna assets zimeibiwa kwenye ofisi yangu ndiomana nahitaji mkopo huu wa dharula ili kuzi replace haraka.
Na hata kama ni mwanafunzi kwani ananunua laptop kwa ajili ya kuchezea?
Matatizo huwa hayana hodi kaka,kama independent man nafikili utakuwa umenisoma.
Lkn nashukuru pia kwa mchango wako kwani utawasaidia walengwa.
Thanks man.Ubarikiwe mkuu kwa uungwana wako wa namna ya kujibu.
Kwa hiyo angekuwa mwanamke ungempaUngekuwa mwanamke ningekushauri namna ya kuupata bila dhamana! mwili wako tu!