Nahitaji mkopo wa dharura

Nahitaji mkopo wa dharura

victormztz

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
1,111
Reaction score
614
Nahitaji mkopo wa dharula wa sh.250,000/=
dhamana yangu ni laptop ya sony.
Proccesor i5
Hd 300gb
Ram 2gb
Win 8
Kwa mwezi mmoja tu.

Tuwasiliane kwa 0755 360552
Nipo dar.
 
Tupia kapicha hapa tuone
 
Kipindi mkiambiwa boom ni pesa ya kula tu si kununulia lap top mnakuwa wabishi haya sasa ulinunua lap top baada ya kulipa ada umeona sasa unavyoteseka
 
Duh! Aliyekwambia mm ni mwanafunzi ni nani?kuna assets zimeibiwa kwenye ofisi yangu ndiomana nahitaji mkopo huu wa dharula ili kuzi replace haraka.
Na hata kama ni mwanafunzi kwani ananunua laptop kwa ajili ya kuchezea?
Matatizo huwa hayana hodi kaka,kama independent man nafikili utakuwa umenisoma.
Lkn nashukuru pia kwa mchango wako kwani utawasaidia walengwa.
 
Attachments

  • 20160321_122644.jpg
    20160321_122644.jpg
    219.4 KB · Views: 63
  • 20160321_160909.jpg
    20160321_160909.jpg
    179.5 KB · Views: 59
Duh! Aliyekwambia mm ni mwanafunzi ni nani?kuna assets zimeibiwa kwenye ofisi yangu ndiomana nahitaji mkopo huu wa dharula ili kuzi replace haraka.
Na hata kama ni mwanafunzi kwani ananunua laptop kwa ajili ya kuchezea?
Matatizo huwa hayana hodi kaka,kama independent man nafikili utakuwa umenisoma.
Lkn nashukuru pia kwa mchango wako kwani utawasaidia walengwa.
Hongera sana kwa mchango wako mzuri.

Vipi umeshapata hiyo hela?
 
Nadhani jf ituwekee utaratibu wa kukopeshana maana inawezekana wapo members wanaopatwa na serious urgency na pia wengine matapeli. Nashauri uongozi uweke utaratibu wa kuhakiki na kupokea rehani za members na kutoa assurance kabla hatujatoa pesa zetu. Of course charges may apply
 
Duh! Aliyekwambia mm ni mwanafunzi ni nani?kuna assets zimeibiwa kwenye ofisi yangu ndiomana nahitaji mkopo huu wa dharula ili kuzi replace haraka.
Na hata kama ni mwanafunzi kwani ananunua laptop kwa ajili ya kuchezea?
Matatizo huwa hayana hodi kaka,kama independent man nafikili utakuwa umenisoma.
Lkn nashukuru pia kwa mchango wako kwani utawasaidia walengwa.
Ubarikiwe mkuu kwa uungwana wako wa namna ya kujibu.
 
Back
Top Bottom