Nahitaji mkopo wa fedha kiasi cha Tsh milioni 1.2

Nahitaji mkopo wa fedha kiasi cha Tsh milioni 1.2

Status
Not open for further replies.

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,527
Reaction score
5,762
Natumaini wazima wa afya ndugu zangu.
Nina shida na mkopo wa shilingi milioni 1.2 nitarudisha ndani ya miezi miwili tu na riba yoyote utakayoniwekea.
ASANTENI.

ANGALIZO: Najua kitu cha kwanza kitakachokuja katika mawazo ya mwenye nia ya dhati ya kusaidia ni DHAMANA na UAMINIFU.
Mimi kipato changu cha hali ya chini sana kwaio dhamana ni ngumu kwangu lakini kuna vitu tunaweza kuongea nikaviweka kama dhamana kama tutakubaliana, na kuhusu uaminifu, naamini jambo moja kwamba unapoguswa kumsaidia mtu yoyote iwe kifedha ama isiyo ya kifedha Mungu hawezi kukupa mtu ambae atakusumbua, atakupa mtu mwaminifu kama ambavyo wewe umekua mwaminifu kumsaidia jirani yako. Asanteni tena.
 
Mkuu kwa usawa huu wa" WATU WASIOJULIKNA"...unaomba mil 1.2 kwenye social networks tena bila riba?.
Si ajabu mkuu kuomba help kwenye social networks, na mimi si wa kwanza, ingekua hivo basi moderators wangekua wanaondoa jumbe za namna hii, lakini najua watu wengi wameomba wamepata na wengine wamekosa.
 
Unafikiri kuna mtu atakupa?
Nafikiri sio busara kuwawekea maneno watu midomoni mwao, mana ukiachilia mbali huwafahamu na isitoshe huna mamlaka kutawala maamuzi yao ya kila siku ya kimaisha basi hata ambao ungezaliwa nao tumbo moja still bado huwezi kumpangia mtu usiyemjua cha kufanya ila natambua ni mawazo yako binafsi na ni jukwaa huru basi ubarikiwe sana.
 
Mkuu humu utaambulia ushauri tu ukihitaji msaada wa kifedha
 
Teh nitakununulia tu bibilia mkuu, hela ina matumizi mengi usije ipeleka........

Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya tu unitumie siipeleki kwingne maana nimeokoka Jana na hapa ninahofu ya mungu kama yote.

Alfu Bible ndyo nyenzo au kitendea kazi ambacho sina kwenye tasnia yangu mpya ya wokovu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom