Paul Mchumi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 1,039
- 1,256
Hupo mkoa gani mkuuJamani habari,nimepata shida ya ghafla nahtaji pesa ya dharula Tsh 500,000/-, dhamana mhusika atachagua nina Tv flat Samsung inch 32 original,au kiwanja kina mkataba wa maiziano,au fridge ndogo haijachoka....naomba kwa alie na hicho kiasi cha pesa anicheki....nipo tayari kufuata masharti yake! 0714 260266
Sent using Jamii Forums mobile app
Usihofu utazipata kama zote[emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Jamani habari,nimepata shida ya ghafla nahtaji pesa ya dharula Tsh 500,000/-, dhamana mhusika atachagua nina Tv flat Samsung inch 32 original,au kiwanja kina mkataba wa maiziano,au fridge ndogo haijachoka....naomba kwa alie na hicho kiasi cha pesa anicheki....nipo tayari kufuata masharti yake! 0714 260266
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama bado hujapata nicheki nitakuunganisha na jamaa anatoa, unapata siku hiyohiyo ukitimiza mashartiJamani habari,nimepata shida ya ghafla nahtaji pesa ya dharula Tsh 500,000/-, dhamana mhusika atachagua nina Tv flat Samsung inch 32 original,au kiwanja kina mkataba wa maiziano,au fridge ndogo haijachoka....naomba kwa alie na hicho kiasi cha pesa anicheki....nipo tayari kufuata masharti yake! 0714 260266
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka huyo mtu wa Mkopo yupoKama bado hujapata nicheki nitakuunganisha na jamaa anatoa, unapata siku hiyohiyo ukitimiza masharti
Sent using Jamii Forums mobile app
Mko morogoro sehemu gani ?Karibuni, natoa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali na wafanyabiashara! Masharti ni nafuu kabisa ....Tupo Morogoro
Kwa maelezo zaidi Njoo PM
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyo jamaa anaetoa mkopo bado yupo,kama ndio niunganishe mkuu,vyuma vimekazaKama bado hujapata nicheki nitakuunganisha na jamaa anatoa, unapata siku hiyohiyo ukitimiza masharti
Sent using Jamii Forums mobile app