Nahitaji mkopo wa haraka laki 5

Nahitaji mkopo wa haraka laki 5

Paul Mchumi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
1,039
Reaction score
1,256
Jamani habari,nimepata shida ya ghafla nahtaji pesa ya dharula Tsh 500,000/-, dhamana mhusika atachagua nina Tv flat Samsung inch 32 original,au kiwanja kina mkataba wa maiziano,au fridge ndogo haijachoka....naomba kwa alie na hicho kiasi cha pesa anicheki....nipo tayari kufuata masharti yake! 0714 260266

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hupo mkoa gani mkuu

Usihofu utazipata kama zote[emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uko mkoa gani tucheki namna na kusaidiana
 
Jamani habari,nimepata shida ya ghafla nahtaji pesa ya dharula Tsh 500,000/-, dhamana mhusika atachagua nina Tv flat Samsung inch 32 original,au kiwanja kina mkataba wa maiziano,au fridge ndogo haijachoka....naomba kwa alie na hicho kiasi cha pesa anicheki....nipo tayari kufuata masharti yake! 0714 260266

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama bado hujapata nicheki nitakuunganisha na jamaa anatoa, unapata siku hiyohiyo ukitimiza masharti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom