Nahitaji mkopo wa haraka wa Tsh. 300000

Nahitaji mkopo wa haraka wa Tsh. 300000

WanaJF,

Naombeni msaada Kwa yeyote anayejua kampuni au mtu bnafsi anayeweza kunipa mkopo wa Haraka wa kiasi kilichotajwa hapo juu, atakuwa amenisaidia.

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huonyeshi kama ni mhitaji a Mkopo,

Hapa kwenye Hii post yako tu ya kanza ungetakiwa kuweka una dhamana mali gani, utarudisha baada ya muda gani, uko tayari kurejesha kwa riba gani. Sio mpaka uulizwe ndio unaze kujibu kimoja kimoja.

Wewe ndio ale unaazima hela kwa mtu ikifika siku ya kurudisha unasubiri mpaka ufuatwe au utafutwe. Yaani kwa jinsi ulivyo present tu hii post ni azi kua utakuja kusumbua sana kwenye kurejesha huo mkopo
 
Hayo mambo nnaweza kukuPM mkuu, haina sababu ya kubandika maana sii kila mtu humu jukwaan ni mkopeshaji
 
Back
Top Bottom