Nahitaji mkopo wa haraka

Nahitaji mkopo wa haraka

Mweusi Mweupe

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
332
Reaction score
322
Ndugu wa JF, hususani wajasilia mali na wachumi naileta hoja yangu hiyo mbele kwa msaada wenu.

Nahitaji mkopo wa 1,000,000/= kabla ya Alhamisi ijayo.

Nipo tayari kwa riba ya hadi 10%-20% kwa mwezi.

Muda wa mkopo ni miezi miwili japo riba yawezalipwa kwa mwezi.

Kwa aliye tayari ani PM.

NOTE: Sitaki mikopo ya taasisi.
 
Mkuu moyo wangu mweupee kukusaidia, sema tu ndo sina cash... Hiyo pesa ni ndogo sana yan ningekupa bila vigezo wala masharti yeyote!
 
Back
Top Bottom