Nahitaji mkopo wa kuanzia laki sita

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,476
Reaction score
11,659
Nahitaji kiasi cha kuanzia laki sita.
Nina business idea lakini sina wa kunishika mkono.am alone.

Kinachonikwamisha ni mtaji tu
Mimi ni mwaminifu tutaandikishana then tutapatana kiasi cha kurudisha na muda, kama kuna riba etc!
Shukrani
 
Kama kuna Tiba ya nini?una dhamana?au maneno tu?
 
weka idea yako humu..

tuichekeche.. tukuona ina uhalisia.. unapata laki 6 fasta..

mambo ya gizani gizan mwisho wa siku tutatapeliana tu..
 
no, ni intrest.
wacha waje wakujilipua,but be careful mkuu,najua kuna watu watakupa tu bila riba wala dhamana lakini kuna kitu watakuomba kama huna hiyo dhamana ninayosema mimi.Watatumia dhamana yako mwenyewe!
 
hata akienda bank.. hakuna mtu atakaekukopesha bila kujua utakachoenda kuifanyia.. na ni lazima kumshawishi kwa idea yako... hata akiiandika humu nikaiba siwezi kuifanya kama ambavyo ataifanya yeye mwenye wazo....
Njaa hizo fanya yako
 
weka idea yako humu..

tuichekeche.. tukuona ina uhalisia.. unapata laki 6 fasta..

mambo ya gizani gizan mwisho wa siku tutatapeliana tu..
hahaa..u must be kidding mkuu
btw biashara inafanywa na inajulikana.nimepata fursa ya kuifanya..na ni biashara zaidi ya moja.
 
wacha waje wakujilipua,but be careful mkuu,najua kuna watu watakupa tu bila riba wala dhamana lakini kuna kitu watakuomba kama huna hiyo dhamana ninayosema mimi.Watatumia dhamana yako mwenyewe!
asante
 
hahaa..u must be kidding mkuu
btw biashara inafanywa na inajulikana.nimepata fursa ya kuifanya..na ni biashara zaidi ya moja.

mimi ni mfanyabiashara na nimeshawai pata loan wakati naikuza business.. najua uhalisia ulivyo.. na biashara nayoifanya hata nikikupa desa.. huwezi ifanya kama navyoifanya mimi... ndio maana nikakwambia kama una Imani wazo lako halitaleta hasara na litarudisha hela na riba.. liweke humu watu wajiridhishe wakupe hela uzungushe.. na wao wafaidike kwenye riba
 
jana nilipitia page ya facebook ya jakaya kikwete nikaona amepost shirika moja linatoa mikopo online ,,jaribu kuchek pengne unaweza kuvutiwa na mashart yao
 
Nahitaji kiasi cha kuanzia laki sita.
Nina business idea lakini sina wa kunishika mkono.am alone.

Kinachonikwamisha ni mtaji tu
Mimi ni mwaminifu tutaandikishana then tutapatana kiasi cha kurudisha na muda, kama kuna riba etc!
Shukrani
Kama sura ninayoiona kwenye avatar ni yako.. nifate Kilimanjaro Hotel chumba namba 208 kabla ya saa mbili usiku niangalie jinsi ya kukusaidia mpendwa... 0715 193 810.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…