black chinese
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,148
- 1,228
More than..aisee...r u serious?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
More than..aisee...r u serious?
changamka usichezee fursa..aisee...r u serious?
Linaitwaje mkuu?jana nilipitia page ya facebook ya jakaya kikwete nikaona amepost shirika moja linatoa mikopo online ,,jaribu kuchek pengne unaweza kuvutiwa na mashart yao
Kufahamu utaratibu wa kujiunga na BRANCH ASSOCIATION pia kama unahitaji mkopo na kujua namna ya kupata mkopo tafadhali Bonyeza haya Maandishi ya Bluu http://branch-association.wapka.mobi/index.xhtmlLinaitwaje mkuu?
yeah the Last emperor nimekupata. Ngoja nimtafute nimrushie kituMtafute young millionaire Copenhagen DN , yule aliyevaa suti kali juzi mpaka ikampa heshima kitaa.
-Kaveli-
inaitwa branch association.masharti yao sijayamudu aisee.hasa katika maelezo ya kujaza fomuLinaitwaje mkuu?
inaitwa branch association.masharti yao sijayamudu aisee.hasa katika maelezo ya kujaza fomu
inaitwa branch association.masharti yao sijayamudu aisee.hasa katika maelezo ya kujaza fomu
haya banaNlikupa offer umekataa nmeondoa mkopo mezani
kuna sehemu ujaze mali zako tatu zisozohamishikaBaadhi ya masharti yao ni yepi?
-Kaveli-
kuna sehemu ujaze mali zako tatu zisozohamishika
kuna kwengine malizinazohamishika
halafu uweke kiwango cha pesa kikae kama dhamana
mfano unakopa mil mbili
kabla ya kukopa uweke laki tatu
pia riba yao ni elfu kumi kila mwezi.yani 10%
na utatakiwa kila mwezi urudishe laki moja mkopo na elfu kumi riba.
na muda mwisho ni miaka miwili
SUPER LIFE SUPPORTNahitaji kiasi cha kuanzia laki sita.
Nina business idea lakini sina wa kunishika mkono.am alone.
Kinachonikwamisha ni mtaji tu
Mimi ni mwaminifu tutaandikishana then tutapatana kiasi cha kurudisha na muda, kama kuna riba etc!
Shukrani
Pyramid Schemes...kuunganisha wa chini yako...hamnaga njia zingine..hivi kuna mtu anafanya pyramid schemes kwa wakati huu ...SUPER LIFE SUPPORT
Njoo huku
Hii actual kampuni inauza bidhaa siyo self donation,unaweza ukajiunga kwa ajili ya kuuza bidhaa zake product moja ukiwa mwanachama utanunua kwa 120,000 na Bei ya kuuza ni 200,000/= lakini wanaojiunga kupitia kwako siyo kuwa wanakuchangia wewe Bali kampuni inakupa wewe % fulani ya kifurushi alicho jiunga.Pyramid Schemes...kuunganisha wa chini yako...hamnaga njia zingine..hivi kuna mtu anafanya pyramid schemes kwa wakati huu ...
Hii actual kampuni inauza bidhaa siyo self donation,unaweza ukajiunga kwa ajili ya kuuza bidhaa zake product moja ukiwa mwanachama utanunua kwa 120,000 na Bei ya kuuza ni 200,000/= lakini wanaojiunga kupitia kwako siyo kuwa wanakuchangia wewe Bali kamunPyramid Schemes...kuunganisha wa chini yako...hamnaga njia zingine..hivi kuna mtu anafanya pyramid schemes kwa wakati huu ...
hahahahhaaa dahchangamka usichezee fursa..
Hao ni matapeli kabisaa tena msijaribu hiyo link wanatumia jina la mh. Kikwete na kuwa wanajihusisha na utoaji mikopo online. Sikweli ni wezi wakubwa hao msijaribu kuweka hela zenu humo ukituma tuu nanamba wanaiblock na hutawata hewani.kuna sehemu ujaze mali zako tatu zisozohamishika
kuna kwengine malizinazohamishika
halafu uweke kiwango cha pesa kikae kama dhamana
mfano unakopa mil mbili
kabla ya kukopa uweke laki tatu
pia riba yao ni elfu kumi kila mwezi.yani 10%
na utatakiwa kila mwezi urudishe laki moja mkopo na elfu kumi riba.
na muda mwisho ni miaka miwili