Nahitaji mkopo wa kuanzia laki sita

Nahitaji mkopo wa kuanzia laki sita

Baadhi ya masharti yao ni yepi?

-Kaveli-
kuna sehemu ujaze mali zako tatu zisozohamishika
kuna kwengine malizinazohamishika
halafu uweke kiwango cha pesa kikae kama dhamana
mfano unakopa mil mbili
kabla ya kukopa uweke laki tatu
pia riba yao ni elfu kumi kila mwezi.yani 10%
na utatakiwa kila mwezi urudishe laki moja mkopo na elfu kumi riba.
na muda mwisho ni miaka miwili
 
Duuh huo mkopo ni kwaajili ya wenye nacho tayari. Not scratchy starters.

-Kaveli-
 
Pyramid Schemes...kuunganisha wa chini yako...hamnaga njia zingine..hivi kuna mtu anafanya pyramid schemes kwa wakati huu ...
Hii actual kampuni inauza bidhaa siyo self donation,unaweza ukajiunga kwa ajili ya kuuza bidhaa zake product moja ukiwa mwanachama utanunua kwa 120,000 na Bei ya kuuza ni 200,000/= lakini wanaojiunga kupitia kwako siyo kuwa wanakuchangia wewe Bali kampuni inakupa wewe % fulani ya kifurushi alicho jiunga.
Pyramid Schemes...kuunganisha wa chini yako...hamnaga njia zingine..hivi kuna mtu anafanya pyramid schemes kwa wakati huu ...
Hii actual kampuni inauza bidhaa siyo self donation,unaweza ukajiunga kwa ajili ya kuuza bidhaa zake product moja ukiwa mwanachama utanunua kwa 120,000 na Bei ya kuuza ni 200,000/= lakini wanaojiunga kupitia kwako siyo kuwa wanakuchangia wewe Bali kamun
 
kuna sehemu ujaze mali zako tatu zisozohamishika
kuna kwengine malizinazohamishika
halafu uweke kiwango cha pesa kikae kama dhamana
mfano unakopa mil mbili
kabla ya kukopa uweke laki tatu
pia riba yao ni elfu kumi kila mwezi.yani 10%
na utatakiwa kila mwezi urudishe laki moja mkopo na elfu kumi riba.
na muda mwisho ni miaka miwili
Hao ni matapeli kabisaa tena msijaribu hiyo link wanatumia jina la mh. Kikwete na kuwa wanajihusisha na utoaji mikopo online. Sikweli ni wezi wakubwa hao msijaribu kuweka hela zenu humo ukituma tuu nanamba wanaiblock na hutawata hewani.
 
Back
Top Bottom