Nahitaji mkopo wa laki 3 kwa riba

Nahitaji mkopo wa laki 3 kwa riba

fogoh2

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
5,305
Reaction score
5,355
Hellow wana jamvi nina shida ya dharura ambayo nimeona nije humu ili niweze kupata mkopo wa shilingi 300,000 niweze kuitatua na nitarudisha mwisho wa mwezi kwa riba ya shilingi 50,000 zaidi .mimi ni mtumishi wa umma kwenye taasisi moja wapo ya serikali hapa mjini Dar es salaam .kwa aliyetayari naomba aniite Pm au nimekaribishe PM tufahamiane zaidi pamoja na kuseti condition .

Natanguliza shukran
 
Mkuu kuna l pesa, Branch, Tala pitia huko kwanza wanakopesha
 
Riba ni dhambi kubwa sana,na ina laana kubwa kabisa
 
Back
Top Bottom