Nahitaji mkopo wa laki 5 urgently

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,981
Reaction score
3,631
Habarini wakuu, Nahitaji mkopo wa dharura wa shilingi laki tano baada ya mwezi mmoja nitarudisha 650,000.dhamana zangu ni vitu vya nyumbani na kwenye biashara, nipo tayari kusainishana popote either mwanasheria au serikali mtaa etc. Lengo la mkopo nikuboost working capital. Nipo dar. Thanks.
 
mkuu umeshapata hitaji lako la mkopo kama ulivyo omba...kama bado ni pm tuongee
 
loan sharks kumbe tupo wengi tunaopenda faida za kinyonyaji...

njoo kwangu mi nakupa laki 5 kwa laki 6 tu.. mradi uweke dhamana zinazozidi thaman ya mkopo ili isije ukaniuzia kijanja
 
Riba ni HARAMU kutoa na kupokea.Faida ya laki moja au moja na nusu ni kitu gani mbele ya MOLA wako.Kijana yuko wazi kabisa na kama una uwezo mpatie huo mkopo na uone utakachokipata kutoka kwa Mola wako.
 
Duh pole ndugu ningekusaidia ila nipo Huku Bulendabufwe-Kibara BUNDA-MARA
 


Kwa elimu ya bure ni kuwa kukopesha pesa kwa riba lazima uwe na kibali. Hivyo bila hicho kibali inakuwa ni pyramid scheme ( upatu) ambao ni kosa la jinai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…