kilama
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 2,745
- 1,989
Wadau habarini za asubuhi
Mimi ni mtumishi wa umma, nahitaji mkopo wa si chini ya milioni kumi (mil 10). Basic salary ni Tsh 710,000 na take home salary Tsh 514, 860. Benki niliyokuwa naitegemea nako kumekuwa kusubiri kwingi hivyo nimekuja kwa wadau.
Mwenye taarifa ya benki yoyote au taasisi ya fedha inayotoa mkopo naombeni directions zenu wakuu kwa kiasi hicho au hata pungufu ya hapo lakini si chini ya milioni 9.
Asante...!!