Nahitaji mkopo wa milioni 10

Nahitaji mkopo wa milioni 10

kilama

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
2,745
Reaction score
1,989
Wadau habarini za asubuhi

Mimi ni mtumishi wa umma, nahitaji mkopo wa si chini ya milioni kumi (mil 10). Basic salary ni Tsh 710,000 na take home salary Tsh 514, 860. Benki niliyokuwa naitegemea nako kumekuwa kusubiri kwingi hivyo nimekuja kwa wadau.

Mwenye taarifa ya benki yoyote au taasisi ya fedha inayotoa mkopo naombeni directions zenu wakuu kwa kiasi hicho au hata pungufu ya hapo lakini si chini ya milioni 9.

Asante...!!
 
Nenda tunakopesha limited utapata mkopo ndani ya masaa 24 riba yao ni 21% na kwa mshahara wako unaruhusiwa kukopa zaidi ya 9000000 na marejesho yake yatakukuwa ndani ya miezi 60(5years) na utakuwa unakatwa tsh 243,480.23 kama makato ya kila mwezi
 
nashukuru mkuu angalau nimepata pa kuanzia japo sina uhakika kama tunakopesha wapo hadi muleba
 
Kha sikushaur kukopa bayport hata tunakopesha ltd...kwann usingejiunga vicoba then baada ya miez kadhaa unakopa pesa kulingana na hisa ulizonunua..riba ni asilimia 5 kwa mwaka...kha uchum ulivokuwa mbovu si salama kukopa huko bayport wana riba kubwa sana...maana utakjwa unalipa mkopo bila faida yyte
 
asante mkuu
 
Nakopesha mkopo wa muda mfupi kuanzia elfu 50,000...marejesho ni ndan ya mwez mmoja..na riba ni asilimia 10....karibuni
 
Back
Top Bottom