nashukuru mkuu angalau nimepata pa kuanzia japo sina uhakika kama tunakopesha wapo hadi mulebaNenda tunakopesha limited utapata mkopo ndani ya masaa 24 riba yao ni 21% na kwa mshahara wako unaruhusiwa kukopa zaidi ya 9000000 na marejesho yake yatakukuwa ndani ya miezi 60(5years) na utakuwa unakatwa tsh 243,480.23 kama makato ya kila mwezi
Watu hawalip madeni na wanapata hasara kwa hyo mikopo inaitwa non performing loan...pesa zimetoka ila hazirud..crdb na nmb napo wamesitisha
asante mkuuKha sikushaur kukopa bayport hata tunakopesha ltd...kwann usingejiunga vicoba then baada ya miez kadhaa unakopa pesa kulingana na hisa ulizonunua..riba ni asilimia 5 kwa mwaka...kha uchum ulivokuwa mbovu si salama kukopa huko bayport wana riba kubwa sana...maana utakjwa unalipa mkopo bila faida yyte
Ogopa sana Bayport marejesho hayaiishi uko wanaweza kukata mpaka pensheni yako .waone Nbc wanatoa mikopo mpaka sasa .nenda bayport