Kuna biashara na ujambazi. Ww hapo siyo biashara ni ujambazi. Target yako utoe m100 upate nyumba ya milion 500 na hapo una uhakika kbsa hawezi kurudisha. Hata masharti ya bank hayako hivi.Sio ujambazi mkuu..
Ni business proposal nimeweka mezani,amekaa basi..sio lazima achukue...
Ndio uzuri wa biashara,sio lazima uchukue deal!
Kuna biashara na ujambazi. Ww hapo siyo biashara ni ujambazi. Target yako utoe m100 upate nyumba ya milion 500 na hapo una uhakika kbsa hawezi kurudisha. Hata masharti ya bank hayako hivi.
Nyie watu huwa mnawaganga special yaan mtu akikopa kwako kurudisha ni ngumu.
Ila hongera jitahidi unaweza kumfikia Bill Gate
Mmh! Anataka kututapeli huyu!
Hata km lkn siyo kwa njia hiyo. Huu ni ujambazi kbsa tena wazi wazi. M100 kwa dhamana ya 500m hata km utampa miaka 20 hawezi kuirudisha hiyo sbb nyie mnakamati ya ufundi. Hongera mr. Bado kidogo uwe tajiri namba 1 tzMkuu
Liquid is the King!
Nyumba ni mawe na cement na matofali,kuja kui-liquidate ni kazi juu ya kazi..Ila nina CASH,every motherfucker lazima awe mpole!
Cash kama cash ni 100mil tu ila nyumba ambayo ni matofali sio CASH,mpaka iwe cash utatokwa jasho...
Mimi nina cash,hivyo ni King mbele ya wewe mwenye nyumba at the moment!
Kama unaipenda sana nyumba yako,ingiza sokoni uiuze hiyo 500mil uone kama itauzika leo,shughuli zako zitasimama mwaka mzima eti nyumbe iuzike upate liquid!
Ndio maana ya uzuri wa hii kazi ya Loan Sharking,hutaki nenda....yakikushinda utarudi tu!
Hahahaaa
Hata km lkn siyo kwa njia hiyo. Huu ni ujambazi kbsa tena wazi wazi. M100 kwa dhamana ya 500m hata km utampa miaka 20 hawezi kuirudisha hiyo sbb nyie mnakamati ya ufundi. Hongera mr. Bado kidogo uwe tajiri namba 1 tz
Milioni 100 ya Tanzania au ya Zimbabwe?Wanajamvi naitaji mkopo wa ela tajwa iwe kampuni au mtu binafisi kwa ajili ya biashara ninayotaka kufanya
kwa yeyote anaye weza ninaweza kufanya nae tukutane pm kwa maelezo zaidi.
Utakimbia PM mkuu.Duh
Una nyumba kwenye kiwanja chenye hati?Nyumba yenyewe iwe Dar maeneo ya mikocheni,masaki,mbezi beach,kunduchi au mbweni!
Kwingine sitaki..
Nyumba iwe na thamani ya milioni 500.
Tufanye transfer kabisa! Nakupa 100 na tunaweka tarehe ya kikomo!Ikivuka saa nne kamili mali si yako..
Na kwenye huo muda kila mwezi interest ni 30%,na inakua compounded kwa miezi consecutively...
Na hela haikai zaidi ya miezi sita!
Ukiwa tayari niPM!