McMahoon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,353
- 1,639
Kuna biashara na ujambazi. Ww hapo siyo biashara ni ujambazi. Target yako utoe m100 upate nyumba ya milion 500 na hapo una uhakika kbsa hawezi kurudisha. Hata masharti ya bank hayako hivi.Sio ujambazi mkuu..
Ni business proposal nimeweka mezani,amekaa basi..sio lazima achukue...
Ndio uzuri wa biashara,sio lazima uchukue deal!
Nyie watu huwa mnawaganga special yaan mtu akikopa kwako kurudisha ni ngumu.
Ila hongera jitahidi unaweza kumfikia Bill Gate