nkungu mwere
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 258
- 336
Wandugu kama kichwa cha habari kinavyosomeka,nina hitaji mkopo wa milioni 4, 500,000 kutoka taasisi yoyote au mtu binafsi dhamana yangu ni kadi ya gari toyota noah,muda wa mkopo miezi 6 tu riba atasema mkopeshaji,eneo moshi/arusha,pls wandugu