Nahitaji mkopo wa milioni 4

Nahitaji mkopo wa milioni 4

nkungu mwere

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2018
Posts
258
Reaction score
336
Wandugu kama kichwa cha habari kinavyosomeka,nina hitaji mkopo wa milioni 4, 500,000 kutoka taasisi yoyote au mtu binafsi dhamana yangu ni kadi ya gari toyota noah,muda wa mkopo miezi 6 tu riba atasema mkopeshaji,eneo moshi/arusha,pls wandugu
 
Jamani ulikuwa hauhitaji kutuambia wanaforum wakati unajua benk zipo,tala nk
 
benk ndipo utapat msaada huku.. utatapeliwa tu.. unless nawe uwe ni tapeli unataka tapeli mtu m 4
 
Back
Top Bottom