Nahitaji mkopo wa million 3 niweze kutatua shida

Kirahisi rahisi tu mtu kakukopesha? watanzania wa dizaini hiyo walikufa na chief Mkwawa,jitahidi sana kusali kuzuia nia hovu ya kukichukua kiwanja chako
Ni kweli nimeweka kiwanja lakini yeye aliyenipatia pesa amekuja na aina nyingine ya dhamana aliyohitaji nikakubaliana nae, hivyo kiwanja kipo hakija guswa katika hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…