gomz120
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 681
- 385
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utabaki uko uko.mafisi bana haha
Ni kweli nimeweka kiwanja lakini yeye aliyenipatia pesa amekuja na aina nyingine ya dhamana aliyohitaji nikakubaliana nae, hivyo kiwanja kipo hakija guswa katika hiliKirahisi rahisi tu mtu kakukopesha? watanzania wa dizaini hiyo walikufa na chief Mkwawa,jitahidi sana kusali kuzuia nia hovu ya kukichukua kiwanja chako
Mungu akutangulie kwa kweli ufanikiwe ktk hilo jambo
Smart guy