Nahitaji mkopo :Wazo langu ni kuanzisha tuition center

ayman makoye

Member
Joined
Jan 3, 2017
Posts
13
Reaction score
33
Mimi ni kijana nimehitimu masomo yangu ya chuo kikuu mwaka jana (Bachelor of education with science) , Sasa nimeamua kujiajiri, Nimekuja na wazo la kuanzisha tuion center kwa hapa Arusha...

Naomba msaada wako wa mawazo constructive unahitajika sana unisaidie Mimi mtanzania.

Wazo langu ni kuanzisha tuition centre Arusha. Itatoa Huduma ya masomo kwa Private candidate, Qualifying test, computer course na English course.

Nimefanikiwa kufanya utafiti wa site pamoja na soko. Hakika nimepata sehemu nzuri, ushindani ni mdogo sana. Pia mipango ya kuleta changamoto mpya iko tayari kabisa.

Upungufu wangu mkubwa ambao ninao ni ukosefu wa mtaji utakaosaidia kufanya yafuatayo,

Kulipa pango, kutengeneza feniture za awali (meza, madawati na Ubao)

Kutengeneza na kuzalisha vipeperushi vya matangazo kwa ajili ya kusambaza maeneo jirani kama Njombe, mtwango, Ilembula, wanging'ombe, nyororo, n.k.

Ombi langu

Naomba Sana mawazo yako mtanzania mwenzangu hasa we mwalimu wa sanaa ambaye tuko mtaani yangu 2015.

Pia kama atapatikana MTU unayeweza kunisaidia kupata pesa kwa ajili ya hiyo (mkopo) nitashukuru zaidi kwani najua ndani ya muda mfupi (miezi 3) pesa zako utarudishiwa. Unaweza ukaja tunafanya process wote na program ikawa ya kwako kwanza then nitakapokulipa basi utakuwa umenisaidia.

Garama zake ni.

Vyumba 2 @ 50000 kwa miezi 2

Madawati 20 @ 15000

Vipeperushi 30000
Tafadhari sana.. Naomba tuwasasiliane kwa Email
[email protected]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataalamu wa masuala ya uchumi na biashara hawashauri sana kukopa ili uanzishe biashara.

Cha kufanya nenda shule ya serikali ya day omba darasa, naamini watakupatia darasa hilo bure, pita shule mbali mbali jitangaze aanza kufundisha wanafunzi jioni bada ya masomo jumamosi na jumapili, pesa utakazopata dunduliza kidogo kidogo baada ya muda unaweza kupata uwezo sasa wa kuwa na sehemu yako.

Ndugu,hongera kwa wazo lako.Pengine kwa kukuongezea tu,umefanya risk assessment za hiyo plan? Lakini jambo jingine,kwa kile unachotaka kukifanya unahitaji zaidi ya wewe...namaanisha ili upate legitimacy ni muhimu ukakidhi mahitaji ya wadau na wateja (mmoja mmoja).
Kuna msemo pia unaosema 'kazi na dawa',unayo au unazo?....utani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataalamu wa masuala ya uchumi na biashara hawashauri sana kukopa ili uanzishe biashara.

Cha kufanya nenda shule ya serikali ya day omba darasa, naamini watakupatia darasa hilo bure, pita shule mbali mbali jitangaze aanza kufundisha wanafunzi jioni bada ya masomo jumamosi na jumapili, pesa utakazopata dunduliza kidogo kidogo baada ya muda unaweza kupata uwezo sasa wa kuwa na sehemu yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una mawazo Kama yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa convince wazazi umuhimu wa tuition and it will work wonders.

They can even make room for you in their homes.
 
Back
Top Bottom