Nahitaji mkopo; Wazo langu ni kuanzisha tuition centre Makambako

Laizer Miradi

Member
Joined
Jan 2, 2018
Posts
24
Reaction score
8
Msaada wako wa mawazo constructive unahitajika sana unisaidie Mimi mtanzania.

Wazo langu ni kuanzisha tuition centre Makambako. Itatoa Huduma ya masomo kwa Private candidate, Qualifying test, computer course na English course.

Nimefanikiwa kufanya utafiti wa site pamoja na soko. Hakina nimepata sehemu nzuri, ushindani ni mdogo sana. Pia mipango ya kuleta changamoto mpya iko tayari kabisa.

Upungufu wangu mkubwa ambao ninao ni ukosefu wa mtaji utakaosaidia kufanya yafuatayo,

Kulipa pango, kutengeneza feniture za awali (meza, madawati na Ubao)

Kutengeneza na kuzalisha vipeperushi vya matangazo kwa ajili ya kusambaza maeneo jirani kama Njombe, mtwango, Ilembula, wanging'ombe, nyororo, n.k.

Ombi langu

Naomba Sana mawazo yako mtanzania mwenzangu hasa we mwalimu wa sanaa ambaye tuko mtaani yangu 2015.

Pia kama atapatikana MTU unayeweza kunisaidia kupata pesa kwa ajili ya hiyo (mkopo) nitashukuru zaidi kwani najua ndani ya muda mfupi (miezi 3) pesa zako utarudishiwa. Unaweza ukaja tunafanya process wote na program ikawa ya kwako kwanza then nitakapokulipa basi utakuwa umenisaidia.

Garama zake ni.

Vyumba 2 @ 40000 kwa miezi 2

Meza 2 @ 18000

Madawati 15 @ 20000

Vipeperushi 20000

Tafadhali sana.. Hivi vyuma lol..
 
Wewe una kipi cha kuanzia kwenye hilo swala?
Hakuna asiyewaza kuanzisha mradi utakaomletea manufaa. Mawazo huwa yanakuja mengi sana lakini huwa tunachagua kuanza na lile ambalo tunauwezo kwa kulimudu kwa mtaji tulionao.
Kuna kipindi huwa natamani sana kuanzisha kampuni ya ndege au kufungua kampuni ya kuuza magari lakini nashindwa kwakuwa sina mtaji wa kufanya hiyo shughuli.
Kama hiyo hauna mtaji wa kuiendesha achana nayokwanza na fanya unayoweza then utaifanya ukipata nguvu hata kama sio hapo pa awali.
 
wale wakusema elimu bure wapo njiani wanakuja
 
Mtaji niliokuwa nao kwa maana ya pesa nilitumia kufanya utafiti mdogo kule ndani ya wiki 1. Mi mwenyewe ni mwalimu hapa niliyekosa ajira. Ni faida hiyo. So nimeamua kutumia fikra zangu kufanya hivyo. Kwa maana hii hata ninapokuja hapa ni mwendelezo wa lile ninalofikiri. Asante kwa mawazo pia
 
Sawa mkuu ngoja waje. Ila nikupongeze tu kwa hilo wazo lako MUNGU akubariki ufikie lengo lako
 
Msaada wako wa mawazo constructive unahitajika sana unisaidie Mimi mtanzania.

Wazo langu ni kuanzisha tuition centre Makambako. Itatoa Huduma ya masomo kwa Private candidate, Qualifying test, computer course na English course.

Nimefanikiwa kufanya utafiti wa site pamoja na soko. Hakina nimepata sehemu nzuri, ushindani ni mdogo sana. Pia mipango ya kuleta changamoto mpya iko tayari kabisa.

Upungufu wangu mkubwa ambao ninao ni ukosefu wa mtaji utakaosaidia kufanya yafuatayo,

Kulipa pango, kutengeneza feniture za awali (meza, madawati na Ubao)

Kutengeneza na kuzalisha vipeperushi vya matangazo kwa ajili ya kusambaza maeneo jirani kama Njombe, mtwango, Ilembula, wanging'ombe, nyororo, n.k.

Ombi langu

Naomba Sana mawazo yako mtanzania mwenzangu hasa we mwalimu wa sanaa ambaye tuko mtaani yangu 2015.

Pia kama atapatikana MTU unayeweza kunisaidia kupata pesa kwa ajili ya hiyo (mkopo) nitashukuru zaidi kwani najua ndani ya muda mfupi (miezi 3) pesa zako utarudishiwa. Unaweza ukaja tunafanya process wote na program ikawa ya kwako kwanza then nitakapokulipa basi utakuwa umenisaidia.

Garama zake ni.

Vyumba 2 @ 40000 kwa miezi 2

Meza 2 @ 18000

Madawati 15 @ 20000

Vipeperushi 20000

Tafadhali sana.. Hivi vyuma lol..

Nasita kuamini kwamba utafiti ulioufanya unakuonyesha unaweza vitu vyote (Huduma zote) ulizozitaja kwa pamoja. Nakushauri uwefocus (Vipaumbe klingana na soko). Nakutakia kila la kheri.
 
Mkuu utawawekea heater madarasani wanafunzi wako? Maana ile baridi ni balaa
 
Msaada wako wa mawazo constructive unahitajika sana unisaidie Mimi mtanzania.

Wazo langu ni kuanzisha tuition centre Makambako. Itatoa Huduma ya masomo kwa Private candidate, Qualifying test, computer course na English course.

Nimefanikiwa kufanya utafiti wa site pamoja na soko. Hakina nimepata sehemu nzuri, ushindani ni mdogo sana. Pia mipango ya kuleta changamoto mpya iko tayari kabisa.

Upungufu wangu mkubwa ambao ninao ni ukosefu wa mtaji utakaosaidia kufanya yafuatayo,

Kulipa pango, kutengeneza feniture za awali (meza, madawati na Ubao)

Kutengeneza na kuzalisha vipeperushi vya matangazo kwa ajili ya kusambaza maeneo jirani kama Njombe, mtwango, Ilembula, wanging'ombe, nyororo, n.k.

Ombi langu

Naomba Sana mawazo yako mtanzania mwenzangu hasa we mwalimu wa sanaa ambaye tuko mtaani yangu 2015.

Pia kama atapatikana MTU unayeweza kunisaidia kupata pesa kwa ajili ya hiyo (mkopo) nitashukuru zaidi kwani najua ndani ya muda mfupi (miezi 3) pesa zako utarudishiwa. Unaweza ukaja tunafanya process wote na program ikawa ya kwako kwanza then nitakapokulipa basi utakuwa umenisaidia.

Garama zake ni.

Vyumba 2 @ 40000 kwa miezi 2

Meza 2 @ 18000

Madawati 15 @ 20000

Vipeperushi 20000

Tafadhali sana.. Hivi vyuma lol..
Sasa ungeanza kuongea na hao suppliers wa hivo unavohitaji uone kwama wanaweza kukupa kwa mkopo nafikiri ni chanzo pia cha mtaji wakati ukisubiri upate hela
 
Back
Top Bottom