Laizer Miradi
Member
- Jan 2, 2018
- 24
- 8
Msaada wako wa mawazo constructive unahitajika sana unisaidie Mimi mtanzania.
Wazo langu ni kuanzisha tuition centre Makambako. Itatoa Huduma ya masomo kwa Private candidate, Qualifying test, computer course na English course.
Nimefanikiwa kufanya utafiti wa site pamoja na soko. Hakina nimepata sehemu nzuri, ushindani ni mdogo sana. Pia mipango ya kuleta changamoto mpya iko tayari kabisa.
Upungufu wangu mkubwa ambao ninao ni ukosefu wa mtaji utakaosaidia kufanya yafuatayo,
Kulipa pango, kutengeneza feniture za awali (meza, madawati na Ubao)
Kutengeneza na kuzalisha vipeperushi vya matangazo kwa ajili ya kusambaza maeneo jirani kama Njombe, mtwango, Ilembula, wanging'ombe, nyororo, n.k.
Ombi langu
Naomba Sana mawazo yako mtanzania mwenzangu hasa we mwalimu wa sanaa ambaye tuko mtaani yangu 2015.
Pia kama atapatikana MTU unayeweza kunisaidia kupata pesa kwa ajili ya hiyo (mkopo) nitashukuru zaidi kwani najua ndani ya muda mfupi (miezi 3) pesa zako utarudishiwa. Unaweza ukaja tunafanya process wote na program ikawa ya kwako kwanza then nitakapokulipa basi utakuwa umenisaidia.
Garama zake ni.
Vyumba 2 @ 40000 kwa miezi 2
Meza 2 @ 18000
Madawati 15 @ 20000
Vipeperushi 20000
Tafadhali sana.. Hivi vyuma lol..