Nahitaji mkopo

Nahitaji mkopo

Swoldiha

Member
Joined
Sep 7, 2018
Posts
53
Reaction score
20
Habarini wadau. Nahitaji mkopo kukuzia biashara. Ninaishi kwangu, nina saluni ya kike yenye draya mbili mpya, kioo kikubwa cha saluni, na kabati kubwa LA kioo. Kwa aliye tayari kunikopesha kwa riba tuwasiliane please, niweze pata utaratibu kamili.Naishi Dar @ mbezi kwa msuguri
 
Vifaa unavyo unahitaji mkopo wa nn tena?
 
Longolongo za benki ndio zilizofanya nije humu. Its very urgent that's why.
 
Nimetoka kulipa ada ya mwanachuo, kaniacha mweupee. Na kuna mzigo was rasta+ weaving na baadhi ya vitu vya saluni najitaji niweke kwa ajili ya huu msimu was sikukuu
 
Nimetoka kulipa ada ya mwanachuo, kaniacha mweupee. Na kuna mzigo was rasta+ weaving na baadhi ya vitu vya saluni najitaji niweke kwa ajili ya huu msimu was sikukuu

Hujasema unahitaji kiasi gani, utarudisha lini, riba kiasi gani uko tayari?
 
Back
Top Bottom