Nahitaji Mkopo

Nahitaji Mkopo

Natafuta mtu anaetoa mikopo..nina shida na mkopo wa laki tano nipo tayari kulipa riba 30%

Tutaandikishana na utakuja mpaka napoishi kwenye makazi yangu.

0692407964..nipo tayari hata leo
Ni mali gani utatumia kama dhamana ya mkopo, endapo ukishindwa kulipa deni ifidie?
 
Hujui atalipa ndani ya muda gani lakin maana riba pia inaendana na muda
Nilivyo navyo mie
Kuna kimoja cha asilimia 5
Kingine 10
Na riba ni generally ya mkopo
Kama ni mkopo wa 1M ( kwa 5% ni 50k, na kwa 10% ni 100K
 
Back
Top Bottom