Nina vitu vya ndani nimejiajiri nina duka la nguo
HahahAnakutoa sadaka wewe kwa laki 4
Ukiwa na leseni ya biashara nani anaweza kukupa mkopo?Unajua kwa mtu ambaye hana leseni ya biashara anakukopesha ni ngumu bila kushika kitu, unaweza kuwa labda na TV, fridge au chochote mtu anaweza kaa nacho?
Kwa kweli wengi ni matapeli au kushindwa kulipa kwa sababu ya kukosa cha kulipaHii mikopo ni high risk uwezikano wa Hela kupotea ni mkubwa sana , watu wengi wanaokwenda huku hawana Sifa za kukopesha na Bank.
140000/460000 = ni 15%. Kwa mwezi ukigawa Kwa miezi miwili .
Wewe unaanfalia hiyo 140000/ Kwa miezi miwili , wakati uwezikano wakutolipwa 99%
Umepata leseni BOT?Ndio Sister, nishamaliza process nyingi Bado. Kuanza operation
NdNina vitu vya ndani nimejiajiri nina duka la
NdioUmepata leseni BOT?
Natoa mkopo Kwa Dhamana yenye Thamani mara tatu ya Mkopo.Wengine sio waajira tunapambana na maisha tuishi hatuna bond zaidi ya vitu vya ndani na duka tafadhari fuataneni dm nafatilia uzi wangu naweza pata msaada
0747362222 naomba nipigieKwa kweli wengi ni matapeli au kushindwa kulipa kwa sababu ya kukosa cha kulipa
Mtu anajua kabisa hana uwezo wa kulipa halafu anakuomba mkopo
Zamani nilikuwa nawapa sana watu tena bila riba hata senti tena watu wanaojiita tuna ukaribu au wafanyakazi wa gov
Ila nikacha kabisa huu ujinga
Sasa ukiniomba mkopo wa 1m nakupa 5% bure zingine ukatafute unakojua
Ila kwa ninaowajua 😄 🤣 sio humu
Wewe ni mgeni humu? Mbona unaweka namba kabisa hapa0747362222 naomba nipigie