Nahitaji mkopo

Nahitaji mkopo

Nina vitu vya ndani nimejiajiri nina duka la nguo

Unajua kwa mtu ambaye hana leseni ya biashara anakukopesha ni ngumu bila kushika kitu, unaweza kuwa labda na TV, fridge au chochote mtu anaweza kaa nacho?
 
Unajua kwa mtu ambaye hana leseni ya biashara anakukopesha ni ngumu bila kushika kitu, unaweza kuwa labda na TV, fridge au chochote mtu anaweza kaa nacho?
Ukiwa na leseni ya biashara nani anaweza kukupa mkopo?
 
Hii mikopo ni high risk uwezikano wa Hela kupotea ni mkubwa sana , watu wengi wanaokwenda huku hawana Sifa za kukopesha na Bank.
140000/460000 = ni 15%. Kwa mwezi ukigawa Kwa miezi miwili .
Wewe unaanfalia hiyo 140000/ Kwa miezi miwili , wakati uwezikano wakutolipwa 99%
Kwa kweli wengi ni matapeli au kushindwa kulipa kwa sababu ya kukosa cha kulipa
Mtu anajua kabisa hana uwezo wa kulipa halafu anakuomba mkopo

Zamani nilikuwa nawapa sana watu tena bila riba hata senti tena watu wanaojiita tuna ukaribu au wafanyakazi wa gov
Ila nikacha kabisa huu ujinga
Sasa ukiniomba mkopo wa 1m nakupa 5% bure zingine ukatafute unakojua
Ila kwa ninaowajua 😄 🤣 sio humu
 
Wengine sio waajira tunapambana na maisha tuishi hatuna bond zaidi ya vitu vya ndani na duka tafadhari fuataneni dm nafatilia uzi wangu naweza pata msaada
Natoa mkopo Kwa Dhamana yenye Thamani mara tatu ya Mkopo.
Mkopo wa 400,000/ unalipa. Ndani ya miezi Mitatu Kwa mfanyabiasharam,. Rejesho ni Kwa. Weeki ni 41500 unalipa Kwa Instalment 12. Jumla ya. Malipo ndani ya miezi mitatu. ni 498000/=
 
Kwa kweli wengi ni matapeli au kushindwa kulipa kwa sababu ya kukosa cha kulipa
Mtu anajua kabisa hana uwezo wa kulipa halafu anakuomba mkopo

Zamani nilikuwa nawapa sana watu tena bila riba hata senti tena watu wanaojiita tuna ukaribu au wafanyakazi wa gov
Ila nikacha kabisa huu ujinga
Sasa ukiniomba mkopo wa 1m nakupa 5% bure zingine ukatafute unakojua
Ila kwa ninaowajua 😄 🤣 sio humu
0747362222 naomba nipigie
 
Back
Top Bottom