tata mvoni
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 534
- 81
Habari wakuu mie ni mjasiriamali mpya na kuna bidhaa nataka kuongeza hapa dukani kwangu ila mtaji umepungua,hivyo basi naomba mtu yeyote anikopeshe laki moja kwa riba ya asilimia kumi na nitarejesha baada ya mwezi noja.Niko dar es salaam na kwa aliye tayari anipigie simu 0786404808 kwa jinsi ya kuandikishiana na mambo mengneyo.