Nothing4good
Senior Member
- Feb 19, 2011
- 180
- 55
- Thread starter
-
- #81
Kwa kuwa umesema hujafikiria kuolewa, na unahitaji mpenzi wa mkataba, Nimeona unafaa sana kuwa nyumba ndogo,
Na pia kwa experience uliyonayo ya mapenzi kuanzia miaka 13 au chini kidogo basi you can be the best nyumba ndogo mof the year!!

Hutatui tatizo kwa kutumia mkataba,utakuwa na mkataba na bado utaumizwa tu pale ambapo mwenzio ataenda kinyume.Tafuta mwanaume unayempenda kwa dhati na hakuna haja ya mikataba,uhusiano ikibidi kuvunjika utavunjika tu.Nakushauri utafute mtu wa dini yako.nina maana yangu nzuri tu,hasa kama una malengo ya muda mrefu.pia uwe una sali,unaelekea kuwa unatafuta majibu marais rais tu kama hilo la mkataba....tulia my dear,atakuja wakati usioutarajia.kila la kheri!