Nahitaji mpenzi...lakin hakuna ku-do!.

PSYCHOLOGY

Senior Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
177
Reaction score
14
Habari wana jamvi la JF!.
Sina makuu...nahitaji mpz awe wa kike umri wowote..awe mwenye matatizo yz kipesa au kimaisha ntamsaidia mawazo hata pesa. Ila ku-do sitohitaji. Sina tamaa za mwili maaba ninae mke wangu anantosha. Maana jamii kubwa siku hupewi msaada lazima mwisho utadaiwa ngono...ama ww unaesaidiwa ili uwekeze zaidi utagawa.
Sina niya mbaya mwenzenu. Nimezoea kila nkiwa safarini nje ya nchi na marafiki zangu...moyo wakusaida/kusaidiwa.
Nawakilisha.
 
hahahahahahahaah haya wale wa kusaidiwa mjitokeze kwa wingi,kazi kwenu lakini!

Hahahahahaha Shosti we vipi? mbona unajiengua? hahahahah lol! hutaki msaada weye!? πŸ™‚
 
Mkuu kama ni misaada mbona vituo vya watoto yatima vipo kibao? Kwani huyo Mkeo ni mpenzi wa ku-do nae tu??? Kwamba hawezi ku-cover hiyo pati nyingine ya Mpenzi?? What exactly do you what to gain from that Mpenzi wa kike ambae hutaki ku-do nae?? Mkeo anafahamu?? Acha hizo, tafuta defination ya Mpenzi uone kisha uache uzushi!
 
mkuu boss na mkuu shosti mmekimbia post yangu.
 
hahahahahaha shosti we vipi? Mbona unajiengua? Hahahahah lol! Hutaki msaada weye!? πŸ™‚

shosti inabidi ajiengue
yeye uhusiani bila bakora hawezi.....
Yeye bora bakora za kutosha,na pesa asipewe...lol
 
Reactions: BAK
shosti inabidi ajiengue
yeye uhusiani bila bakora hawezi.....
Yeye bora bakora za kutosha,na pesa asipewe
...lol


hahahahah lol! Ni kweli kabisa nimeiona hiyo thread yake. Anataka bakora za kutosha kabisa πŸ™‚ Bora amejiengua na mapema πŸ™‚ vinginevyo mapenzi ya hivi asingeyamudu kabisa
 
shosti inabidi ajiengue
yeye uhusiani bila bakora hawezi.....
Yeye bora bakora za kutosha,na pesa asipewe...lol
hahahahhhahahahhahaha hii kali kuliko...ushanchapa nini!
 
Sasa huyo atakua mpenzi au rafiki utakaemjali?!Mkeo karuhusu?!
Umemshtukia na wewe eheeee......ajenda yake huyu jamaa ni nini?? Anataka aje kugombea vitu maalum ktk kundi la wanawake nini??? Maana watu wamegundua siku hizi ukigusa Wanawake na Watoto basi wewe ndio Yohana Mbatizaji...hahahah...!!!
 
acha kunikejeli kichen pati ningeweka kwa wakubwa.

sasa unaona tatizo lako?????
Usipomuelewa mtu unamjibu kwa hasira....
Sikukejeli,seriously.....nimeona unamjibu shosti as if ndie mgomvi wako
so hapo ntachangia nini?????
 
hahahahah lol! Ni kweli kabisa nimeiona hiyo thread yake. Anataka bakora za kutosha kabisa πŸ™‚ Bora amejiengua na mapema πŸ™‚ vinginevyo mapenzi ya hivi asingeyamudu kabisa
mhhh dogo aliiba password
 
Reactions: BAK
hahahahhhahahahhahaha hii kali kuliko...ushanchapa nini!

nilitaka nijaribu
but nilipoona chini ya bakora nane husikiii
nikaona bora kwanza niendele na gym kwanza
sasa nimefikia uwezo wa bakora 6 lol
nikifika kiwango nakutafuta lol
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…