Nahitaji mpenzi...lakin hakuna ku-do!.

Nahitaji mpenzi...lakin hakuna ku-do!.

PSYCHOLOGY

Senior Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
177
Reaction score
14
Habari wana jamvi la JF!.
Sina makuu...nahitaji mpz awe wa kike umri wowote..awe mwenye matatizo yz kipesa au kimaisha ntamsaidia mawazo hata pesa. Ila ku-do sitohitaji. Sina tamaa za mwili maaba ninae mke wangu anantosha. Maana jamii kubwa siku hupewi msaada lazima mwisho utadaiwa ngono...ama ww unaesaidiwa ili uwekeze zaidi utagawa.
Sina niya mbaya mwenzenu. Nimezoea kila nkiwa safarini nje ya nchi na marafiki zangu...moyo wakusaida/kusaidiwa.
Nawakilisha.
 
hahahahahahahaah haya wale wa kusaidiwa mjitokeze kwa wingi,kazi kwenu lakini!

Hahahahahaha Shosti we vipi? mbona unajiengua? hahahahah lol! hutaki msaada weye!? 🙂
 
Mkuu kama ni misaada mbona vituo vya watoto yatima vipo kibao? Kwani huyo Mkeo ni mpenzi wa ku-do nae tu??? Kwamba hawezi ku-cover hiyo pati nyingine ya Mpenzi?? What exactly do you what to gain from that Mpenzi wa kike ambae hutaki ku-do nae?? Mkeo anafahamu?? Acha hizo, tafuta defination ya Mpenzi uone kisha uache uzushi!
 
mkuu boss na mkuu shosti mmekimbia post yangu.
 
shosti inabidi ajiengue
yeye uhusiani bila bakora hawezi.....
Yeye bora bakora za kutosha,na pesa asipewe
...lol


hahahahah lol! Ni kweli kabisa nimeiona hiyo thread yake. Anataka bakora za kutosha kabisa 🙂 Bora amejiengua na mapema 🙂 vinginevyo mapenzi ya hivi asingeyamudu kabisa
 
Sasa huyo atakua mpenzi au rafiki utakaemjali?!Mkeo karuhusu?!
Umemshtukia na wewe eheeee......ajenda yake huyu jamaa ni nini?? Anataka aje kugombea vitu maalum ktk kundi la wanawake nini??? Maana watu wamegundua siku hizi ukigusa Wanawake na Watoto basi wewe ndio Yohana Mbatizaji...hahahah...!!!
 
acha kunikejeli kichen pati ningeweka kwa wakubwa.

sasa unaona tatizo lako?????
Usipomuelewa mtu unamjibu kwa hasira....
Sikukejeli,seriously.....nimeona unamjibu shosti as if ndie mgomvi wako
so hapo ntachangia nini?????
 
hahahahhhahahahhahaha hii kali kuliko...ushanchapa nini!

nilitaka nijaribu
but nilipoona chini ya bakora nane husikiii
nikaona bora kwanza niendele na gym kwanza
sasa nimefikia uwezo wa bakora 6 lol
nikifika kiwango nakutafuta lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom