Nahitaji mpenzi...lakin hakuna ku-do!.

Mkuu umekuna kunako maana wabongo kwa kusaidiwa...utawaona wa kumwaga...Ila usitoe contacts zqko maana mhhhhh
Ahsante kwa ushauri mzuri. Contact ntaziweka maana wataniona muongo. NaOmba ntaowapa msaada wangu si lazima watangaze!
 
Mkeo karuhusu?!

Jibu hilo hapo juu..

Kama unayo nia ya kweli kaombe ruhusa na mkeo wakati amefurahi na mkiwa mnapanga mambo mazuri ya maisha yenu na huku ukimwambia tabia mbaya za baadhi ya watu ku-cheat..na pia mwambie mkeo afanye SWOT analysis halafu akupe ruhusa.
 
Mbona unaongea kwa Matambo sana, au we ni Bakhresa? Hizo pesa zako(kama unazo kweli) usizitumie kutafutia wachumba, ni bora ukawasaidia watoto yatima na wenye shida mbalimbali.
 
Ahsante kwa ushauri mzuri. Contact ntaziweka maana wataniona muongo. NaOmba ntaowapa msaada wangu si lazima watangaze!
Ukipata wapenzi 10 je? Kutakuwa na interview?Naomba kuapply, nina deni la mil 5 tu, limenielemea, usihofu nitatangaza hadi kwa Issa Michuzi!JF, niombeeni mwenzenu, huyu kaka awe genuine; maana shida zetu zitapungua, halafu kina dada tusioneane wivu! LOLLast question, na FaizaFoxy anaruhusiwa kuapply?
 
Mbona unaongea kwa Matambo sana, au we ni Bakhresa? Hizo pesa zako(kama unazo kweli) usizitumie kutafutia wachumba, ni bora ukawasaidia watoto yatima na wenye shida mbalimbali.
Kama yuko genuine, wenye shida si watoto yatima tu; honestly kina dada wengi wameingia biashara ya ukahaba kwa ajili ya shida, na sadly hakuna mashirika, NGO nyingi zinazojihusisha na shida za wasichana ambao option waliyonayo ni kuuza miili kwa well known makahaba au penzi kwa rest of wanawake ambao si rahisi kuwaita makahaba! Tatizo lipo ila Saikolojia kaliweka kimzaha zaidi, ingawa he might have his own reason kuchukua that cause of action! It is common kusikia kauli kama " yule demu amekula pesa yangu halafu hataki kuachia" toka kwa wanaume; so getting mpenzi just for caring itakuwa msaada for some!
 
Ahsante kwa kunielewa vizuri.Nakusahihisha kidogo...si kua nimeliweka kama jokes ...ispokua members ndio wameliona kama jokes. Hata ukianza from my thread utaona majibu ya hao wachangiaji...Nimejirahidi kuweka uwazi wa lengo langu lakini hawajiamin kabisa!!
 
Sijahitaji wapenzi ili ku-do nao ila wawepo karibu ili niwasaidie. Na hilo litakua ni jambo ambalo litawatoa hofu kwa kua wengi wao wamezoeshWa...keep n pay. Jamani hayo ni mazoea niliozoeshwa nayo tu! Hata hivi nipo safarini Libya.
 
Embu acha dharau...kuona unazingua watu ni KUTOJIAMINI au KUTOKUKUAMINI?!
 
Sijahitaji wapenzi ili ku-do nao ila wawepo karibu ili niwasaidie. Na hilo litakua ni jambo ambalo litawatoa hofu kwa kua wengi wao wamezoeshWa...keep n pay. Jamani hayo ni mazoea niliozoeshwa nayo tu! Hata hivi nipo safarini Libya.
Kwahiyo ukiwa Libya ndio......??!
 
Kwahiyo ukiwa Libya ndio......??!
Lizzy hebu mpotezee huyo hana jipya. Ameishaelezwa sehemu za kupeleka hiyo misaada yake vya kutosha. Masharti ya hiyo misaada yake si ni bora hao watu waeende taasisi za mikopo kama Finca, Pride na nyinginezo zinazotambulika coz huko watapata na mafunzo ya kujisimamia wenyewe na kusongesha maisha mbele kwa mbele kuliko hilo sharti eti awe mpenzi wa kike na eti hataki ku-do! Mpaka hapo tayali dalili za uzalilishaji zinajitokeza, bora angesema anatoa misaada kwa Wanawake ingeweza kuleta mashiko.
 
Naitaji nokia ya tochi,lakini yenye tatizo la netiwork!
 
hujui kuna watu maujiko yao ndiyo hayo...safarini libya,nikiwa UK sijui nini mradi shobo!
Kumbe eeeh?!Ngoja na mimi nianzishe yangu kuwajulisha watu kwamba naishi Uswiss...vacation visiwa vya Caribbean na Asia!!
 
Kumbe eeeh?!Ngoja na mimi nianzishe yangu kuwajulisha watu kwamba naishi Uswiss...vacation visiwa vya Caribbean na Asia!!
hahahahahahahhaahah wapuuzi tu hao kwani ukiwa huko una tofauti gani na mie wa mwananyamala jamani
 
Kumbe eeeh?!Ngoja na mimi nianzishe yangu kuwajulisha watu kwamba naishi Uswiss...vacation visiwa vya Caribbean na Asia!!
Hakika siwezi sema ukweli wangu kuhusu safari zangu! Ndio tatizo zenu hizo! Hapo afrika pamewatoa macho...ningewatajia Europe the continent west of Asia sijui ingekua vip? Hebu muwe makini kwa maneno yenu. Msaada wangu nimeamua kuchangia hapo.
 
hujui kuna watu maujiko yao ndiyo hayo...safarini libya,nikiwa UK sijui nini mradi shobo!
Hayo ndio majibu yenu hayanishitui...mmezoea kujibu hovyo.Hata stockholm hua nikifika...nilifaham nkitaja hapo afrika nitawajua aina ya watu kama ww.Hata mazingira ya hapo Libya ni mazuri sana kwa kila kitu kuliko ulipo sasa! SikUeleza hivyo kama ni kudharau...vizuri uangalie kama utahitaji ni sawa au hautohitaji ukae kimya...Mimi nimeanzz na hilo na www kama utaweza anzisha na lako.
 
hahahahahahahhaahah wapuuzi tu hao kwani ukiwa huko una tofauti gani na mie wa mwananyamala jamani
Hahahaha...unamsikia jamaa.Anasema eti tunashangaa Libya ambayo iko Afrika je akitwambia kuhusu huko ulaya ..Stckhm and the likes?!Kazi tunayo sie ambao hatujawahi toa miguu nje!‘
 
Hahahaha...unamsikia jamaa.Anasema eti tunashangaa Libya ambayo iko Afrika je akitwambia kuhusu huko ulaya ..Stckhm and the likes?!Kazi tunayo sie ambao hatujawahi toa miguu nje!
Usinielewe vibaya! Mbona hamueleweki humu? Hapo ninajibu maswali ya wanajamvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…