PSYCHOLOGY
Senior Member
- Feb 10, 2011
- 177
- 14
- Thread starter
- #21
msiwe na shaka nimejielezea vizuri. What's matter? Nmesema nmezoea kusaidia..kama mmezoea kuwasaidia akina dada mpaka muwapige mijeledi...mimi mke wangu anajua hii ni tabia yangu...na siwezi badili neno''rafiki'' nataka awe mpz wala siwezi ku-do nae. Akitaka atafute mpenzi mwingine wa ku-do nae sio mimi.Kuna ubaya wowote hapo? Au mmezoea kula uliwe? Ha h ah ha Lol.