Nahitaji mpenzi...lakin hakuna ku-do!.

Nahitaji mpenzi...lakin hakuna ku-do!.

Kusema ukweli mimi nna shida!Kama unamaanisha unayosema hapa naomba tuwasiliane kaka!
 
inatakiwa msimamo wa hali ya juu na kujiamini,maana vijana wengi wazushi tuu siku hizi?
 
Saidia watoto yatima, saidia maskini, saidia wagonjwa hapo ndipo moyo wako wa kusaidia tutakapoukubali.
 
Mmh,mbona hailekei kama kweli unataka kutoa msaada? manake umesema una hitaji mpenzi sasa mpenzi huyo anakuaje? na vp utake mpenzi humu usokwenda Muhimbili au Bombo Hospital kuwasaidia.
 
kusaidia si lazima niende hizo sehemu. Msaada mtu hapangiwi pa kuupeleka. Umuhimu msaada umfikie mlengwa. Mpenzi umetafsiri vipi mwenzetu?Nimewapata Thanks Allah.
 
hawa rafiki sijui wanafikiri mambo haya ni uzushi!!!
Mmezoeshwa hivyo eee!
 
Ni sawa na kula mboga isiyo na chumvi! Hilo penzi halitakuwa na radha.But go ahead please to satisfy your desire.
 
Unatafuta msaidizi wa kumsaidia mke wako au
 
Habari wana jamvi la JF!.
Sina makuu...nahitaji mpz awe wa kike umri wowote..awe mwenye matatizo yz kipesa au kimaisha ntamsaidia mawazo hata pesa. Ila ku-do sitohitaji. Sina tamaa za mwili maaba ninae mke wangu anantosha. Maana jamii kubwa siku hupewi msaada lazima mwisho utadaiwa ngono...ama ww unaesaidiwa ili uwekeze zaidi utagawa.
Sina niya mbaya mwenzenu. Nimezoea kila nkiwa safarini nje ya nchi na marafiki zangu...moyo wakusaida/kusaidiwa.
Nawakilisha.
Kila nikisoma napata hisia kwamba umeagizwa na mganga labda.
Ila kwa kifupi, kama una mke we dumu naye,
Huwezi pata mpenzi wa hivyo dunia hii.
Sana sana unahitaji msaada wa kitaalamu.
 
Back
Top Bottom