Nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe

Kwa hiyo weusi wetu ndio hutaki. Tabia zetu mbona si kama rangi yetu. Watu wazuri sisi. Rangi adimu hii (nyeusi). Wengi wamekunywa maji wamekuwa waarabu.
Wonders shall never end.
 
Reactions: ywf
nyota ya usiku wa manane, mie napenda mwanaume awe mweusi tiii meno flan meupe halafu mrefu....uwiiiii
 
Reactions: ywf
Yaaan kila anaenitongoza n mweis tu kwan m nina nyota gan
[emoji3] [emoji3]

Mwingine nipo hapa.Kama wewe ni mweupe jua kwamba wanaume weusi hupenda wanawake weupe na wanaume weupe huwa bize na wanawake weusi.
 
Sisi Weusi ndio wapiga kazi...!!
Kuremba kwetu ni mwiko...
Hatunaga Ushoronga...!
Tunajali sana.
Tunajidai kwa sababu, tunaweza kuwa Weupe, ila Weupe kamwe hawawezi kuwa Weusi...!!

We called a Black Diamond...!
 
Yaaan kila anaenitongoza n mweis tu kwan m nina nyota gan
[emoji3] [emoji3]


Aiseeeeh,
Wapake rangi " sadolin" utakuwa unajimwangamwaga na rangi upendayo mwenyewe ; nyeupe, njano, nyekundu, kahawia, blue, Silva, pink, maroon, ni wewe tu na macho yako!
Yaani, hapo kwisha habari ya weusi wetu.
 
Aisee wanawake ebu tupeni break kidogo tupumue duh [emoji134][emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…