Nahitaji mpenzi/mchumba wa kike

Nahitaji mpenzi/mchumba wa kike

Frank255Fx

Member
Joined
Jul 25, 2019
Posts
27
Reaction score
9
Rejea kichwa cha Habari hapo
Naitwa Frank , huu ni mwaka wangu wa 25 , Nimesoma , Nimeajiriwa Serikalini (Tanzania Defence Force) , Ni mwanaume anayejitambua na muelewa sana, Naweza kummudu mwanamke wa aina yoyote ! Naishi Dar , Nahitaji mwanamke mwenye mwili mwili mzuri, mrembo, Shape Nzuri Mwenye hofu ya Mungu [emoji120][emoji120]Natanguliza Shukrani
PM IPO WAZI


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom