kilochindikipoporu
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 244
- 208
Nahitaji mpenzi na msaidizi wa maisha
Nimekulia maisha ya mahangaiko..nahitaji mtu wa kunitoa upweke na huzuni nliyonayo. Nahitaji kutulia nami
Naitaji wa kunishika mkono nitoke hapa nilipo
Naahidi upendo wa kweli kwako.
Mimi ni mwanamke. 24-28
Mkristo
Menine utayajua
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji mpenzi na msaidizi wa maisha
Nimekulia maisha ya mahangaiko..nahitaji mtu wa kunitoa upweke na huzuni nliyonayo. Nahitaji kutulia nami
Naitaji wa kunishika mkono nitoke hapa nilipo
Naahidi upendo wa kweli kwako.
Mimi ni mwanamke. 24-28
Mkristo
Menine utayajua
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamoo' babu etuu...Mtu hata umri wake haujui nani atamuoa?
ππππSiku zote wanaume wanatafuta wanawake. Leo huyu mmama ndio anatafuta dume.
Inaelekea Huyu ni mwanamke mwenye Tabia mbaya sana za kuchukua wanaume za wenzake na inaelekea walishamzalisha ba amewahi kuzichoropoa mimba kibao. Sasa anatafuta mtu asiyejua huko nyuma kwake kwamba ni kubovu. Tumekustukia mama. Endeleza ulevi