Nahitaji mpenzi serious hili tuje kuoana

Nahitaji mpenzi serious hili tuje kuoana

Duuh yani wanaume ndo tulupofikia huku asee?? Aya jamaa angu all the best ila icho kigezo cha mtoto rekebisha mkuu unless unatafuta msichana wakulea wanao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mbona mashart ya kawaida tu. Mim nadhani ikae kama ilivyo, kama kuna mtu atakua yupo serious atanifuata pm kwa maelewano zaidi.
 
Back
Top Bottom