Nahitaji Mpenzi wa kike, niko Mwanza

Nahitaji Mpenzi wa kike, niko Mwanza

lup

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
2,514
Reaction score
2,741
Wadau habari ya Siku ya Leo.. Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu, mimi ni Kijana kati ya miaka 27 na 30. Naishi mwanza mjini mjini. Wilaya ya ilemela.
Nahitaji mpenzi wa kike kwa ajiri ya mahusiano ya kweli lakini baadhi ya sifa ninazohitaji ni hizi.. Umri na umbo sio tatizo lakini asiwe na tabia ya mizinga, asifanye mahusiano Haya kama biashara ingawa tutasaidia pale inapobidi..awe free kupatikana na hata kutoka. Awe mwelewa na awe tayari kutengeneza mahusiano ya maana na sio ya kubabaisha na kupoteza mda.
Zaidi ni kwamba watu huwa wanakutana popote kwani mitadao haina watu ila inawatumiaji wa mtandao.wapo waliokutana hapa na leo leo wanafamilia tayari na maisha yanasonga. kwa hiyo sio tatizo kama tukiwasiliana
Mengine tutaongea namba yangu ni 0620394062.unitafute kama unamaanisha na sio kujaribu
 
Wewe itakuwa mademu wote mtaani kwenu washakujua unaupungufu wa nguvu za kiume,yaani midemu mikareeee imejaa tz umeshindwa hadi jf ikuwezeshe,si wakuozeshwa mwanetu wewe huna nguvu na si mzima kunako kichwani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mi mbavu sina, weekend ngumu, hamna kitu.. angalau nimecheka kidogo
 
Hahaa aisee wimbo wa taifa hahahhaa
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1]

Hiv hujui kutongoza
Live n kipaji
Kuna weny hawana
Hicho kipaji

Ila kwmy cm hata wimbo
Wa taifa utaimbwa[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mkuu mitaa ya Kirumba, kona ya bwiru, ghana,misheni hadi nera kuna watoto wakali sana imekuwaje hauwaoni, huku hata ukipata hawezi kuwa na vigezo muhimu unavyopenda ambavyo hapa hauwezi kuviweka hadharani.
 
Hivi si kuna nyuzi za wadada wanatafuta wanaume humu ndani? Anyway ningekua mimi kabla ya kuweka bandiko langu ningepitia wadada wote wanaotafuta. Maana ni ajabu kila kukicha matangazo tena ya jinsia tofauti ni kwamba hawa waandishi hawazioni nyuzi za wenzao wanaotafuta wakamalizana juu kwa juu?

Au shida ni vigezo?
Anyway siku hizi kila kitu kipo hata kama hana choo utakitengeneza tu mwenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: lup
Back
Top Bottom