Mcheza Karate
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 690
- 350
miaka 55? Sasa atapata utamu gani kwako? Kutengana na mume wako katika umri kama huo? Du! Wewe ni noma. Ulimaliza kupata siku zako ukiwa na miaka mingapi? Sasa mtoto wa miaka 22 hadi 26 utamzalia kweli?
kweli ajira hamna tz.
hehehe dah soo
lakini najua wapo vijana jobless hapa mjini hizi dei waka wao ndio wanatafuta.
kama 0713 yako inafanya kazi vizuri ni pm
Yatakuwa mashaarti ya mganga haya!!
Am a Tanzanian Woman.
Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue Mapenzi na Awe Handsome kiasi.
Mimi Nimetengana na Mume wangu.
Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.
Umri wangu ni miaka 55.
Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.