Mcheza Karate
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 690
- 350
Umwambukize nani vidudu vyako, ingekuwa kama wewe mwanao wa kiume unasikia anatembea na bibi wa umri huo ungejisikiaje? Na unasema uliachwa? Hee!! Tabia kama hiyo ndo ukae na mume? Pole sana mama yangu kama nimekukwaza. Jitahidi kumtafuta mtu mzima mwenzio mwenye ufahamu. ACHA MARA MOJA KUTUSAMBAZIA.