Sioni aibu maana atakuwa kama mume wangu,na wanangu watamuheshimu kama baba yao.
Ukistaajabu ya wanasiasa utaona ya wanawake wa jamiiforum.......kweli dunia imefika mwisho,wewe miaka 55 bado unafanyia kidudu chako promosheni?
Mimi nina umri wa miaka 45 ninaweza kukufaa?
Kila la kheri dada, sioni cha ajabu hawa watu wa JF ni wazandiki mbona kila siku vibinti vinaolewa na vibabu na hatushiki mabango.
Acheni hizooo....
Am a Tanzanian Woman.
Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue Mapenzi na Awe Handsome kiasi.
Mimi Nimetengana na Mume wangu.
Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.
Umri wangu ni miaka 55.
Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.
Lazima utakuwa ni mbunge wa ccm tu wewe
Je huyo kijana utamruhusu aoe mke atakayemzalia watoto? kama utamruhusu uko tayari kumsaidia kulea hao watoto wake?
Ukistaajabu ya wanasiasa utaona ya wanawake wa jamiiforum.......kweli dunia imefika mwisho,wewe miaka 55 bado unafanyia kidudu chako promosheni?
Khaaaaaaaaaaa! Umaskini ni mbaya sana.