Nahitaji mpenzi wa kiume

Status
Not open for further replies.
 
Sahivi unamiaka 61.

Vipi libido bado ipo?
 
Japo umesema hauhitaji sifa zozote, ni lazima awe kijana asiyehitaji mtoto kutoka kwako. Au vipi?
 
Am a Tanzanian Woman.
Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea
Umri wangu ni miaka 55.
Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.
Miaka 55 mingi sana Bwana, utambemenda kijana wa watu, tafuta wazee wenzio,Hao ni sawa na watoto wako, hivi unaweza kulala na mtoto wako wa kumzaa?
Lakini kumbuka pia kijana anahitaji kuwa na maisha yake na ajenge familia yake.Mtoto wa mwenzio ni wako.
 
Nimesoma majibu yako, nadhani wewe ni mwanamme ambaye umejifanya kuwa mwanamke ili kufurahisha baraza AMA wewe ni binti mdogo mwenye nia hiyo hiyo. Mama wa miaka 55 atakuwa na aibu kidogo hata nyuma ya keyboard.
 
Ndo mana nataka nimlee.

Moja nenda kwa dactari wa ushauri professional psychologist and counseling kwasababu hauko normal. Pili kapime elements ya kuwehuka maana kwa mtu anae jiheshimu hawezi fanya hayo unayoyataka wewe.
Tatu ni vema sana uwe na maombi mengi kwa Mungu wako hiyo unayotaka kuifanya ni LAANA hutabaki salama.
 
Mbona kwa umri huo unayehapo ndani kwako labda asiwe wa kiume
 
nimekuja pm tayari chief
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…