Nahitaji mpenzi wa kiume

Nahitaji mpenzi wa kiume

Status
Not open for further replies.
So ukitaka akutie utasema: Kijana njo unitie? Mume wangu njo unitie? Au mwanangu njo unitie? Naona ule usemi wa watu wazima kujiita BABY umeanza kuzaa matunda kwani umeamua kumpata BABY waukweli. Hongera na nakutakia kila la kheri. Naamini, utafanikwa, tena vijana wengi wasiosoma wanavyopenda maisha ya short cut! Mbona utampata BABY wakumulea bila shida? Ukikosa Mtanzania tafuta hata Wakongoman. Wapo kibao na hawaangalii mbele wala nyuma. Wanachotaka wao ni jimama lenye pesa zake tu lililoachana na mume wake kama wewe.
 
Japo umesema hauhitaji sifa zozote, ni lazima awe kijana asiyehitaji mtoto kutoka kwako. Au vipi?
Am a Tanzanian Woman.

Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue mapenzi na awe handsome kiasi.

Mimi Nimetengana na Mume wangu.

Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.

Umri wangu ni miaka 55.

Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.
 
Am a Tanzanian Woman.
Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea
Umri wangu ni miaka 55.
Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.
Miaka 55 mingi sana Bwana, utambemenda kijana wa watu, tafuta wazee wenzio,Hao ni sawa na watoto wako, hivi unaweza kulala na mtoto wako wa kumzaa?
Lakini kumbuka pia kijana anahitaji kuwa na maisha yake na ajenge familia yake.Mtoto wa mwenzio ni wako.
 
Nimesoma majibu yako, nadhani wewe ni mwanamme ambaye umejifanya kuwa mwanamke ili kufurahisha baraza AMA wewe ni binti mdogo mwenye nia hiyo hiyo. Mama wa miaka 55 atakuwa na aibu kidogo hata nyuma ya keyboard.
Am a Tanzanian Woman.

Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue mapenzi na awe handsome kiasi.

Mimi Nimetengana na Mume wangu.

Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.

Umri wangu ni miaka 55.

Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.
 
Ndo mana nataka nimlee.

Moja nenda kwa dactari wa ushauri professional psychologist and counseling kwasababu hauko normal. Pili kapime elements ya kuwehuka maana kwa mtu anae jiheshimu hawezi fanya hayo unayoyataka wewe.
Tatu ni vema sana uwe na maombi mengi kwa Mungu wako hiyo unayotaka kuifanya ni LAANA hutabaki salama.
 
Am a Tanzanian Woman.

Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue mapenzi na awe handsome kiasi.

Mimi Nimetengana na Mume wangu.

Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.

Umri wangu ni miaka 55.

Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.
Mbona kwa umri huo unayehapo ndani kwako labda asiwe wa kiume
 
Am a Tanzanian Woman.

Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue mapenzi na awe handsome kiasi.

Mimi Nimetengana na Mume wangu.

Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.

Umri wangu ni miaka 55.

Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.
nimekuja pm tayari chief
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom