Nahitaji mpenzi wa kiume

Status
Not open for further replies.
Uzi umefufuka ukute founder ameenda na COVID-19 Sio kwa uzee huu
 
Nikikupea utawezana...[emoji39][emoji39]??
 
Reactions: amu
Ushapataga
 
Muwe muangalia na post, we posti ya 2012 unauliza ushapata?? Waksti mwenzio anaweka bandiko hapa!! we ulikuwa shule ya msingi!! napendekeza!! kabla hujacoment. Uangalie hilo bandiko ni la lini!!
 
Uzi ni wa mwaka 2012 ila huyu demu alikua muongo kuna uzi wa mwaka huo huo alisema ana miaka 27.
 
nipo tayari karibu sana nipe contact
 
Uzi wa 2012
Hata shule nlikuwa cjui namaliza lini primary.
Ama kweli kabisa Shwetani yupo
 
Watoto wetu wa kiume sijui tuwafiche wapi jamani! Umeshavuka hadi MENOPAUSE ila unatafuta mvulana wa 22 wa kumpotezea muda? Huwezi kuwashusha watoto wetu hadi hadhi ya SEX TOYS. Hata jina lako tu linaashiria hatari: KATRINA (Kile kimbubga hatari). Tafuta vibabu wenzio......
 
Here I am...
Age 26
Body.. thin
D* size 5.9 Inc
Education ...none
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…