Abel james
Senior Member
- Jun 12, 2014
- 103
- 8
vijana mtafia vifuani nyie ,shauri yenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nataka nimzalie mtoto?
Me nina watoto wakubwa.
Wa kwanza yuko nje ameoa na ana familia yake.
He's 33yrs,na wengineo.
Anataka kupima mapigo ya moyo ya vijana wa Mjini!!
Watu wameshachoka na Maisha haya,wanataka wapate watu wa kuwalea ili walipuke nao.
Hv jamani hakuna M-baba tambi la Njenje anaetaka kumlea Mdada,maisha yameshavaa Bukta,bado kuingia Msambweni.
haaaaa na hao wanao wameoa wabibi kama wewe?
We mama kafie mbele...ujana ule pekeyako na Hiyo mbunye yako iliyonamakunyanzi umpe kijana Mwenye dushelele nzurii? Inabidi upigwe mawe Wewe kwa kuziba nafasi za vijana. Anza na mwanao kwanza...
Heeee!Kwa staili hiyo we mama hujiheshimu na unataka kumpotezea muda kijana atakaejitokeza !
Vijana wanahitaji watoto na wewe kiwanda chako kilisha'expire' we unategemea nini!
ungekuwa na miaka 43 ingekuwa afadhali! Na inavyoonesha una mdomo mchafu ndiyo maana mlitengana na mmeo. kwa ushauri ni pm 0764980623
Am a Tanzanian Woman.
Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue mapenzi na awe handsome kiasi.
Mimi Nimetengana na Mume wangu.
Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.
Umri wangu ni miaka 55.
Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.