Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umegraduate chuo gani??? hicho chuo kimekuongezea ujinga badala ya kuutoa... :A S-eek::A S-eek: ajira ngumu mpaka unataka huyo mama akuajiri kimwili??Am 27 na mapenzi nayajua kweli, nime graduate mwaka juzi chuo ila nataka wewe ue wa pembeni na mimi niwe na mke wng kama kawaida ili niendeleze kizazi changu.
Am a Tanzanian Woman.
Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue mapenzi na awe handsome kiasi.
Mimi Nimetengana na Mume wangu.
Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.
Umri wangu ni miaka 55.
Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.
Kwani nataka nimzalie mtoto?
Me nina watoto wakubwa.
Wa kwanza yuko nje ameoa na ana familia yake.
He's 33yrs,na wengineo.
Am a Tanzanian Woman.
Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue mapenzi na awe handsome
Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.
Miaka 55? Sasa atapata utamu gani kwako? Kutengana na mume wako katika umri kama huo? Du! Wewe ni noma. Ulimaliza kupata siku zako ukiwa na miaka mingapi? Sasa mtoto wa miaka 22 hadi 26 utamzalia kweli?