Nguyeyo go
Member
- Jan 21, 2015
- 60
- 21
Am a Tanzanian Woman.
Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue mapenzi na awe handsome kiasi.
Mimi Nimetengana na Mume wangu.
Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.
Umri wangu ni miaka 55.
Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.
Ujana ulikula navijana waenzi zako uzee unataka ulenawajukuu zako😱😱hapa sibure inawezeka simzima kiafya