Nahitaji mpenzi wa kiume

Nahitaji mpenzi wa kiume

Status
Not open for further replies.

AmKATRINA

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
882
Reaction score
2,044
Am a Tanzanian Woman.

Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue mapenzi na awe handsome kiasi.

Mimi Nimetengana na Mume wangu.

Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.

Umri wangu ni miaka 55.

Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.
 
Miaka 55? Sasa atapata utamu gani kwako? Kutengana na mume wako katika umri kama huo? Du! Wewe ni noma. Ulimaliza kupata siku zako ukiwa na miaka mingapi? Sasa mtoto wa miaka 22 hadi 26 utamzalia kweli?

Kwani nataka nimzalie mtoto?
Me nina watoto wakubwa.
Wa kwanza yuko nje ameoa na ana familia yake.
He's 33yrs,na wengineo.
 
Am 27 na mapenzi nayajua kweli, nime graduate mwaka juzi chuo ila nataka wewe ue wa pembeni na mimi niwe na mke wng kama kawaida ili niendeleze kizazi changu.
 
Am a Tanzanian Woman.
Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue Mapenzi na Awe Handsome kiasi.
Mimi Nimetengana na Mume wangu.
Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.
Umri wangu ni miaka 55.
Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.

Je huyo kijana utamruhusu aoe mke atakayemzalia watoto? kama utamruhusu uko tayari kumsaidia kulea hao watoto wake?
 
Duh! 50s anataka 20s, my God! maini hayazeeki. Hebu post hata ka picha..
 
Watu umri umesonga lakini bado wanataka kurudia au kucompete na vijana..duh.
 
ya leo kali kunguru kanya ugali kisa njaa kali.
 
kuna nyimbo mpya ya nikki wa 2 ft belle 9 inaitwa hatuendani inakufaa sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom